Madaktari Tanzania kutumwa mikoani | Masuala ya Jamii | DW | 10.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sekta ya Afya

Madaktari Tanzania kutumwa mikoani

Serikali ya Tanzania itawapeleka madaktari bingwa wapatao 200 katika hospitali za mikoa ili kukabiliana na upungufu wa watalaamu hao. Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania, Obadia Nyongola, azungumzia uamuzi huo.

Sikiliza sauti 03:06
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na Dkt. Obadia Nyongola

          

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com