Machafuko yazuka huko Fizi mashariki mwa Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 09.04.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Machafuko yazuka huko Fizi mashariki mwa Kongo

Kumeripotiwa kuzuka machafuko katika eneo la Fizi, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo mali na mifugo ya raia imeporwa huko Katanga.

Maelfu ya Wakongo wakirudi makwao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Maelfu ya Wakongo wakirudi makwao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Josephat Charo amezungumza hivi punde na kapteni Oliver Amuli, msemaji wa majeshi yanayoshiriki katika operesheni ya "Amani Leo" katika mkoa wa Kivu Kusini, na kwanza kumuuliza kinachoendelea katika eneo hilo.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 09.04.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/MsCe
 • Tarehe 09.04.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/MsCe
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com