1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mabwawa ya Tanzania katika hatari ya kukauka

Lilian Charles Mtono5 Januari 2017

Mabwawa ya makubwa nchini Tanzania yako katika hatari kubwa ya kukauka kabisa kutokana na kuongezeka kwa shughuli za kibinaadamu pembezoni mwa mabwawa hayo. Miongoni mwa shughuli hizo ni ujenzi na kilimo, ambapo wakulima hachepusha mikondo ya maji kwa ajili ya manufaa yao. Miongoni mwa athari ni wanyama kukosa maji na kufa. Sikiliza makala haya ya mtu na mazingira uelewe kwa mapana.

https://p.dw.com/p/2VJU9