1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Maandamano kupinga kodi ya mitandao Uganda

11 Julai 2018

Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji wanaopinga kodi kwa matumizi ya mitandao ya kijamii. Watumiaji wanatakiwa kulipa shilingi 200 za Uganda (Tsh 116, Ksh 5) kwa siku.

https://p.dw.com/p/31GBV
Maandamano kupinga kodi ya mitandao ya kijamii Kampala
Picha: DW/L. Emmanuel

J2.11.2018Maandamano Kampala - MP3-Stereo