1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya 'Maoni Mtaani' Tanzania

18 Oktoba 2022

DW Kiswahili na kituo cha televisheni Tanzania ITV wataandaa mdalaho unaojulikana kama maoni mtaani hapo Jumatano katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, mjini Dar es Salaam mada kuu ikiwa "Vijana na Uongozi." Kundi la vijana ni miongoni mwa watu wanaotarajiwa kushiriki katika mjadala huo ambao hufanyika mara moja kwa mwaka. Msikilize Hawa Bihoga na Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/4IMaX