SiasaMaandalizi ya Iddi ul Fitr yapamba motoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari14.06.201814 Juni 2018Katika kuelekea siku kuu ya eid el fitry nchini Tanzania pirika pirika za maandalizi zimepamba moto katika maeneo mbali mbali ya masoko. Watu ni wengi kweli katika jiji la Dar es Salaam wengi wakishughulika kutafuta nguo na bidhaa za vyakula.https://p.dw.com/p/2zYCBMatangazo