Maambukizi ya VVU Tanzania | Media Center | DW | 17.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Maambukizi ya VVU Tanzania

Si watu wote walioathiriwa na VVU wana utayari wa kuweka wazi hali zao za maambukizi. Kwa Tanzania, wanawake wamekuwa wepesi kujitangaza wanapoathirika ikilinganishwa na wanaume. Je wewe uko tayari kusema iwapo umeathiriwa na VVU? Vijana wanaeleza mtazamo wao kuhusu hilo kupitia video hii ya Yakub Talib. Kurunzi 17.09.2020

Tazama vidio 03:18