1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maambukizi ya Ukimwi yatia wasiwasi Kenya

15 Oktoba 2019

Huko nchini Kenya kuna wasiwasi mkubwa wa kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya Ukimwi hasa kwa vijana na watoto hata katika wakati ambapo kampeni ya kukabili janga hilo, zikiongezeka. Kulikoni? Makala hii ya afya ina mengi ya kukujuza.

https://p.dw.com/p/3RJ2v