1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya watu wenye ulemavu wa ngozi yaadhimishwa

Alex Mtalika13 Juni 2017

Leo ni siku ya watu wenye albino duniani ambapo kwa Tanzania kitaifa inafanyika mjini Dodoma. Pamoja na kampeni mbalimbali jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi bado inaishi kwa mashaka kutokana vitendo vya imani potofu ambavyo vinaendelea kuripotiwa maeneo mbalimbali vikilenga watu wa jamii hiyo.

https://p.dw.com/p/2ee6x
Tanzania Albino Vertreter
Wajumbe wa jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi kutoka Mwanza wakiwa na mwandishi wa DW, Alex Mtalika, wa pili kutoka kushoto.Picha: DW