1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ligi ya bodaboda

22 Septemba 2020

Kusini mwa Tanzania, vijana wanaoendesha usafiri mashuhuri wa 'bodaboda' wameamuwa kujikusanya na kuandaa ligi ya soka kwa minajili ya kujenga usuhuba baina yao, kukwepa vishawishi vya uhalifu na kusaidiana maarifa kwenye kuzitumia fura zilizopo kujiendeleza. Kurunzi 22.09.2020

https://p.dw.com/p/3iq0p