1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ligi kuu ya soka Tanzania bara kuanza Jumapili

Josephat Charo
4 Septemba 2020

Ligi kuu ya soka Tanzania Bara inatarajiwa kitifua vumbi Jumapili Septemba 6. Msisimko unatarajiwa kuwa mkubwa msimu huu baada ya timu kuimarisha vikosi vyao kwa kuwasajili wachezaji wapya. Je kipi kitarajiwe? Lillian Mtono anazungumza na Josephat Charo wa dawati la michezo la DW Kiswahili kuhusu ligi hiyo na ligi kuu ya England.

https://p.dw.com/p/3i1Eq