Rais mstaafu Benjamin Mkapa amesema kuna janga katika elimu ya Tanzania na kutoa wito wa suala hilo kushughulikiwa. Katika kipindi hiki cha Kinagaubaga, DW imezungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu John Kalage, ikiangazia kiwango cha tatizo hilo na kama kuna juhudi zozote za kuchukuliwa kwa haraka kukabiliana nalo.