Kuwa na ulemavu wa kusikia si sababu ya kuwa tegemezi | Anza | DW | 04.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Kuwa na ulemavu wa kusikia si sababu ya kuwa tegemezi

Ili kuepuka maisha ya kuwa tegemezi siku za baadaye, wanafunzi hawa kutoka chuo cha viziwi Buguruni wanajiwekea jiwe la msingi kwa kusomea taaluma ya ushonaji nguo

Tazama vidio 02:07
Sasa moja kwa moja
dakika (0)