1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutana na 'Super Woman' mjasiriamali wa Tanzania

Zainab Aziz Salim-Mtullya4 Januari 2019

Katika wikendi ya kwanza ya mwaka mpya 2019 Zainab Aziz anakukaribisha kusikiliza kipindi cha Karibuni. Mgeni wa wiki ni Salma Marsheed ambaye ni mjasiriamali na msikilizaji wa mwezi ni Fuso wa Fuso.

https://p.dw.com/p/3B1tL