Kutana na Peter Kuga Mziray, mgombea urais kwa APPT - Maendeleo | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.10.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

IDHAA YA KISWAHILI

Kutana na Peter Kuga Mziray, mgombea urais kwa APPT - Maendeleo

Pirika pirika za kampeni za uchaguzi nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu zinaanza kushika kasi, ambapo tayari baadhi ya vyama vimezindua kampeni zake na kuweka hadharani ilani zao za uchaguzi.

Halima Nyanza alizungumza na mgombea Urais kupitia chama cha APPT - Maendeleo Peter Kuga Mziray, ambaye kwanza anaelezea juu ya mchakato huo wa kampeni za uchaguzi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com