1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kulegalega kwa sheria ya mtoto Tanzania

salma mkalibala6 Januari 2021

Ukiukwaji wa haki za watoto ni miongoni mwa changamoto inayochangia kuathiri mienendo ya maisha yao na hata kupelekea kuyumbisha au kutotimia kwa malengo yao. Kipindi hiki cha Makala Yetu kinaangazia kulegalega kwa usimamizi wa sheria katika masuala ya ustawi wa mtoto kunavyochangia kuwakosesha haki, mtayarishaji ni Salma Mkalibala.

https://p.dw.com/p/3nZKN