1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kubenea adai kuonewa kufungiwa gazeti la Mawio

16 Juni 2017

Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Harrison Mwakyembe wa Tanzania imelifungia gazeti la wiki la Mawio kuchapishwa kwa miezi 24. Katika toleo la June 15-21, Mawio lilichapisha picha za marais wastaafu, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete likiwahusisha na sakata la mchanga wa madini tofauti na agizo la serikali. Lilian Mtono amezungumza na mmiliki wa gazeti hilo Saed Kubenea.

https://p.dw.com/p/2eo7q