Kodi ya mitandao ya kijamii Uganda | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 03.07.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kodi ya mitandao ya kijamii Uganda

Maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano yamepata sura mpya nchini Uganda baada ya serikali kuanza kumtoza kodi kila anayetaka kutumia mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Instgram. Kodi hiyo inatozwa kwa sababu gani na Waganda wanaichukuliaje? Ni maswali yatakayojibiwa na Elizabeth Shoo katika Sema Uvume wiki hii.

Sikiliza sauti 09:47