1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Instagram

Instagram ndiyo jumuiya kubwa kabisaa ya picha kwenye mtandao wa Intanet. Jukwaa hilo lam kushirikishana picha limebuniwa hasa kwa ajili ya watumiaji wa simu za mkononi.

"Instagram" ni mchanganyiko wa papo papo (Kama kamera ya Instamatic za Kodak) na telegram: Picha inapigwa, kuhaririwa kwa kutumia vichujio vya Instagram zikiambatanishwa na hashtag sahihi na kuwekwa mara moja kwenye mtandao. Watumiaji wengine wa Instagram wanaweza kuzingalia, kuzi "Like" na kutoa maoni. Picha hizo zinaweza kushirikishwa kwnye majukwa mitandao mingine ya kijamii. Maudhui maarufu zaidi ni "Selfie", vyakula, mandhari na miundombinu.

Onesha makala zaidi