HakiElimu: Kiwango cha elimu kimeshuka wakati wa Kikwete
Elizabeth Shoo4 Desemba 2015
Shirika la kutetea haki ya kusoma na ubora wa elimu Tanzania, HakiElimu, limezindua ripoti ya miaka 10 ya elimu chini ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete na kusema ubora wa elimu ulishuka wakati huo.