1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ngedere waligeuza jiji la Dar makaazi yao

Yusra Buwayhid
23 Julai 2018

Ngedere ni aina ya kima waliozoweleka kuishi kwenye misitu yenye miti mikubwa. Lakini katika hali ya kushangaza wanyama hawa wanapatikana barabara za mjini Dar es Salaam, kwenye majengo ya ghorofa. Angalia jinsi wanavyotangamana na binaadamu mjini humo. Je, ukimuona utakimbia ama utampa chakula?

https://p.dw.com/p/31xEQ