1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilio cha Wakaazi wa Buguruni

14 Novemba 2018

Wamejikuta katika hali ya kutoweza kufikia maeneo mengine kwa urahisi baada ya ua kujengwa na kuziba makaazi yao. Ili kujua ni kwa nini, na hata nani amefanya hivyo na suluhisho wanalotaka ni lipi, Ahmad Juma amekuandalia taarifa hii kwa njia ya vidio. Tazama

https://p.dw.com/p/38D7q