1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachimbaji almasi Shinyanga wahujumiwa

Josephat Charo
19 Januari 2019

Makala ya mbiu ya mnyonge inatupia jicho kilio cha wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya Almasi katika mgodi wa Almasi wa Williamson Diamonds uliopo Shinyanga nchini Tanzania, ambao huuza Almasi kwa bei ya hasara kutokana na wao kutokuwa na uelewa wa bei ya madini hayo katika soko la dunia. Ungana na Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/3BqAa
Tansania Diamantenmine in Shinyanga | Godfrey Juma
Godfrey Juma, mchimbaji madini ya almasi akiwa na na Veronica Natalis, mwandishi wa DWPicha: DW/V. Natalis
Tansania Diamantenmine in Shinyanga | Mabula Amasanja
Mabula Amasanja, mchimbaji madini ya almasi, mgodi wa Mwadui Diamond, Shinyanga, TanzaniaPicha: DW/V. Natalis