1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kilimo cha uwamgiliaji nchini Tanzania mkombozi kwa wakulima

Deo Kaji Makomba / MMT8 Agosti 2018

Ni kwa muda mrefu sasa wakulima nchini Tanzania, wamekuwa wakitegemea mvua za msimu kwa ajili ya shughuli za kilimo, badala ya kilimo cha umwagiliaji, hali inayosababisha juhudi za nchi hii kuelekea katika uchumi wa viwanda ifikapo mwaka 2025, kutokufua dafu, hasa kutokana viwanda kuhitaji mali ghafi kutokana na mazao ya kilimo. Karibu katika makala yetu leo na msimulizi ni Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/32nyx