Kero la nepi zilizotumika | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kero la nepi zilizotumika

Nepi za kisasa zinazotumika mara moja na kutupwa kwa ajili ya kuwahifadhi watoto na wagonjwa haja ni sehemu ya maendeleo ya teknolojia ambayo kila mmoja anafurahia mageuzi hayo katika sekta ya ulezi wa wana. Lakini kuna madhara yake kama anavyosimulia Hawa Bihoga katika ripoti hii

Tazama vidio 06:21