1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kauli ya Samia kutofautishwa na Magufuli yachambuliwa

Sudi Mnette19 Aprili 2021

Nchini Tanzania mjadala bado unajikita katika kauli ya rais Samia Suluhu Hassan akiwawaonya watu na wanasiasa wanaomtofautisha na mtangulizi wake hayati John Magufuli akisisitiza kuwa serikali yake inaenzi na kuendeleza kazi zilizofanywa na kiongozi. Kufuatia matamshi hayo mchambuzi wa siasa za Tanzania, Atilio Tagalile alistoa tafakari yake hii alipizungumza na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/3sERc