1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibuni: Unafahamu maajabu yaliyoko kwenye kijiji cha kizimkazi?

Sudi Mnette17 Februari 2023

Katika makala ya Karibuni ambayo husheheni burudani kedekede, utamsikia Sudi Mnette akizungumzia mwamko wa mchezo wa masumbwi nchini Tanzania. Lakini pia utasikia sadiki ukipenda na leo atakupeleka hadi katika kijiji cha Kizimkazi, ambako utasikia maajabu ya kijiji hicho ambacho hauingii hivhivi tu bila ya kuwa msafi. Kwa mengi zaidi, karibu hapa usikilize kwa mapana.

https://p.dw.com/p/4Ne74
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Makala zetu