1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni zapamba moto kuelekea uchaguzi wa Hungary Aprili 12

18 Machi 2026

Hungary inatarajiwa kufanya uchaguzi muhimu wa bunge ifikapo Aprili 12. Katika uchaguzi huo, Waziri Mkuu Viktor Orban wa chama cha kihafidhina cha Fidesz anakabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa Peter Magyar wa chama kichanga cha Tiszar. Ungana na Angela Mdungu kufahamu zaidi katika makala ya Mwangaza wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/5AdNS