1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kanisa la wenye ulemavu wa kusikia

15 Machi 2021

Ni kanisa la Emmanuel lililopo Buguruni Dar es laam, Tanzania ambalo ni mahsusi kwa wenye ulemavu wakusikia. Nia ni kutoa huduma ya kuabudu kwa kundi hilo ambalo limesahaulika kwenye jamii. Video na Yakub Talib

https://p.dw.com/p/3qf0a