1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya kupima virusi vya HIV Tanzania

16 Julai 2018

Wengi huwa na hofu ya kupimwa virusi vya HIV, hofu ambayo haijulikani inapotokea. Baadhi wanapokwenda kupimwa hawataki kuchukua majibu. Sikiliza makala ya Afya Yako iliyoandaliwa na mwandishi wa DW George Njogopa kuhusu kampeni ya kupima virusi hivyo nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/31XL5