Kamanda Sirro aonya dhidi ya mauaji ya watoto Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 21.02.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kamanda Sirro aonya dhidi ya mauaji ya watoto Tanzania

Mkuu wa jeshi la polisi nchini Tanzania Kamanda Simon Sirro amewaonya wale wote wanaoendesha vitendo vya kikatili vya kuwauwa watoto na kisha kuwanyofoa viungo vyao vya mwili kuacha mara moja, kwani msako mkali unafanyika nchi nzima na atakayebaininka kuhusika kwa namna yoyote ile sheria itachukua mkondo wake. Veronica Natalis amemhoji kamanda Sirro.

Sikiliza sauti 05:10