Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris yuko nchini Tanzania katika ziara iliyoanzia Ghana na baadae atafika pia nchini Zambia. Je, ni ujumbe gani ambao Marekani inataka kuutuma katika ziara hii ya Kamala Harris, kwa nchi hizi tatu? Jacob Safari amezungumza na balozi wa zamani wa Tanzania Ami Mpungwe.