1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabendera afikishwa mahakamani

12 Septemba 2019

Mwandishi wa habari za uchunguzi nchini Tanzania, Eric Kabendera anayeshtakiwa kwa makosa matatu ikiwamo la utakatishaji fedha leo amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu, huku hali ya afya yake ikiwa imezorota.

https://p.dw.com/p/3PU5y