1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jukumu la malezi ni la nani hasa?

26 Januari 2021

Jamii nyingi zinaamini kwamba suala la malezi ya watoto ni la mwanamke na si mwanaume. Je dhana hii unaizungumziaje? Na je wewe mwenyewe unashiriki vipi katika suala la malezi? Kwenye video hii utasikia maoni mbalimbali, itazame kisha nawe nipe maoni yako. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3oRVs