1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuudhibiti moto Kilimanjaro zinaendelea

15 Oktoba 2020

Serikali ya Tanzania imesema imefanikiwa kuuzima moto katika mlima Kilimanjaro huku Waziri wa Maliasili na Utalii nchini humo Hamisi Kigwangalla akisema mvua zilizonyesha zimesaidia kuupunguza moto na wizara yake imejipanga kudhibiti majanga kama hayo. #kurunzi 15.10.2020

https://p.dw.com/p/3jyk6