Juhudi za kukuza vipaji vya wakimbizi Uganda | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 26.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Juhudi za kukuza vipaji vya wakimbizi Uganda

Hali ya mtu kuwa mkimbizi au mhamiaji haimaanishi kwamba kipaji chake kinapaswa kusahaulika au kutoweka. Ni kwa msingi huo ambao kundi liitwalo Refugee talent nchini Uganda linajaribu kukuza vipaji vya wahamiaji. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi kwenye video hii ya #Kurunzi

Tazama vidio 04:03