1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Joto la kisiasa laanza kupanda Tanzania

28 Januari 2019

Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania wameanza kujipasha joto kuelekea katika uchaguzi mkuu wa mwakani na ule wa serikali za mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu wakisema watawashangaza wengi. Kutoka Dar es Salaam, George Njogopa anatupia macho joto hilo hasa wakati huu ambako muswada wa sheria ya vyama vya siasa ukitarajiwa kusomwa kwa mara ya pili katika bunge linaloanza Jumanne hii.

https://p.dw.com/p/3CJ22