1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jithada za kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya Afrika

26 Julai 2019

Wakati wafurukutwa wa Kiswahili wakiwania kuipandisha lugha hii daraja kubwa zaidi na kuwa lugha ya mawasiliano barani Afrika, wasiwasi ni kwamba wanaelekea kuinyang'anya lugha yenyewe kutoka mikono ya wenyewe na kuikabidhisha kwa wengine. zaidi sikiliza kipindi cha Karibuni.

https://p.dw.com/p/3Mn8n