1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la polisi Tanzania lafanyiwa mabadiliko

20 Julai 2022

Rais wa Tanzania, Samia Suuhu Hassan amefanya mabadikiko makubwa katika jeshi la polisi, akimteua mkuu mpya wa jeshi hilo wakati aliyekuwa kwenye nafasi hiyo, Simon Sirro akiteuliwa kuwa balozi. Mkuu mpya wa polisi na viongozi wengine walioteuliwa wamepaishwa mchana wa Jumatano. Isikilize ripoti yake George Njogopa.

https://p.dw.com/p/4EOym