1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, rais Samia anaweza kuimarisha mifumo ya haki Tanzania?

Hawa Bihoga30 Septemba 2022

Kufuatia kauli za Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan zinazoashiria utetezi wake wa wazi wa masuala ya haki akiwa ndani ya mfumo wa serikali, baadhi ya wanaharakati wamemtaka atumie nafasi yake kubadili mfumo wa masuala ya haki ambao umekuwa ukilalamikiwa na raia kwa muda mrefu. Hawa Bihoga amezungumza na mwanaharakati Helen Kijo Bisimba.

https://p.dw.com/p/4Ha1s