Je ni kweli uhuru wa kujieleza Tanzania umebinywa? | Media Center | DW | 18.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Je ni kweli uhuru wa kujieleza Tanzania umebinywa?

Askofu wa zamani wa kanisa la Anglikana nchini Tanzania Dkt. Valentino Mokiwa ameelezea kusikitishwa kwake na kile anachokiita kuwa kubinywa kwa uhuru wa kujieleza nchini mwake. Hebu tazama, umsikilize kisha nawe pia utoe maoni yako.

Tazama vidio 01:03
Sasa moja kwa moja
dakika (0)