Je, katiba mpya ipo Tanzania?30.03.201430 Machi 2014Licha ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba kuendelea nchini Tanzania, suali hasa linalouzwa ni ikiwa kweli katiba hiyo itapatikana.https://p.dw.com/p/1BYOmMwanachama wa CCM Zanzibar.Picha: picture alliance/dpaMatangazo Katika kipindi hiki cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anaongoza mjadala juu ya hatima ya Katiba Mpya nchini Tanzania. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.