Japan: Yukio Hatoyama achaguliwa waziri mkuu mpya | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.09.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Japan: Yukio Hatoyama achaguliwa waziri mkuu mpya

Nchini Japan, Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, Yukio Hatoyama, leo ametangaza baraza lake jipya la mawaziri, ikiwa ni saa chache tu baada ya bunge kumthibitisha kuwa Waziri Mkuu mpya wa Japan.

default

Waziri Mkuu mpya wa Japan Yukio Hatoyama

Bwana Hatoyama na chama chake cha DJP, katika uchaguzi mkuu wa mwezi uliyopita, alifanikiwa kukiondoa  chama cha LDP kilichotawala Japan kwa miongo kadhaa.

Na ili kufahamu zaidi niliwasiliana na mwandishi wa habari anayeishi jijini Tokyo, Ali Attas, kwanza nikitaka kufahamu watu wamelipokeaji baraza hilo jipya la mawaziri la bwana Hatoyama.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com