1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Isaac Gamba aagwa Mwanza

30 Oktoba 2018

Mwili wa mtangazaji mwenzetu Isaac Gamba umeagwa hii leo Jijini Mwanza na watu mbalimbali, na hatimaye kuanza safari ya kwenda kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, huko wilayani Bunda. Vidio hii ina mengi zaidi. Buriani Gamba.

https://p.dw.com/p/37OUV