Iringa yatumbukia kwenye ghasia
20 Mei 2013Matangazo
Hatua hiyo ilifuata baada ya polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU kuingilia kati. Saumu Mwasimba amezungumza na kamanda wa polisi wa mkoa huo Michael Kamhanda ambaye pamoja na kuthibitisha juu ya kurejea kwa hali ya utulivu ameelezea pia juu ya hatma ya waliokamatwa. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Saumu Mwasimba
Mhariri: Mohammed AbdulRahman