Polisi mkoani Mwanza, Tanzania inawashikiliwa watu watano kuhusiana na tuhuma za mauaji ya imamu wa msikiti na waumini wawili ndani ya msikiti wa Masjid Rahma uliopo wilaya ya Nyamagana mkoani humo.
https://p.dw.com/p/1Ir7g
Matangazo
[No title]
Sudi Mnette amefanya mahojiano na mkuu wa polisi Mwanza, Ahmed Msangi, akitaka kufahamu kibi polisi walichokibaini hadi sasa.