1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ijue mbuga ya Enduimet

11 Mei 2020

Jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori ya jamii ya Enduimet ilianzishwa na serikali ya Tanzania mwaka 2003 kwa ushirikiano wa jamii kutoka vijiji vyote 11 kwa lengo la kuhifadhi wanyanapori na mazingira yake. Malengo mengine ya kuanzishwa kwa hifadhi hiyo pamoja na kutekeleza sera ya taifa ya wanyamapori ya mwaka 1998. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3c1A0