1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ifahamu Facebook Messenger na faida zake

Sylvia Mwehozi1 Agosti 2016

Zipo programu nyingi tunazipakua katika simu zetu na mara nyingi tunafahamu matumizi ya aina moja tu. Katika Sema Uvume Sylvia Mwehozi atakueleza kwa upana mambo matano ambayo unaweza kuyafanya kwa kutumia programu ya Facebook Messenger na pia utasikia shindano jipya la ubunifu nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/1JZpb