IEBC: Makamishna kamwe hawatang′atuka | Matukio ya Afrika | DW | 05.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

IEBC: Makamishna kamwe hawatang'atuka

Tume ya Uchaguzi Kenya imesema makamishna wake hawataachia ngazi, licha ya shinikizo kutoka upande wa upinzani, viongozi wa makanisa na maafisa wa kibalozi wanaotaka tume hiyo ifanyiwe marekebisho.

Sikiliza sauti 02:51

Ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada