1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ibada ya waumini wa imani ya Rasta

16 Februari 2018

Waumini wa imani ya Rasta hufanya ibada yao kila Jumamosi ambapo baada ya hapo hukusanya sadaka ikiwemo pesa, chakula na mavazi na kisha kuwapelekea watu wenye shida. Ibada hiyo hufanyika kwenye bustani ya Lalibela, katika Wilaya ya Nyamagana.

https://p.dw.com/p/2snZb